Azimio la Umoja wa Mataifa juu ya Haki za Wakulima

Azimio la Umoja wa Mataifa juu ya Haki za Wakulima ni azimio la Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (United Nations General Assembly) juu ya haki za binadamu wanaofanya kazi ya kulima, iliyopitishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 2018. [1]

Azimio hilo lilipitishwa kwa kura 121 huku wanachama 8 kupinga na wanachama 54 kukataa kupiga kura.

  1. "United Nations Declaration on the Rights of Peasants", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-04-21, iliwekwa mnamo 2022-05-15

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search